Mwongozo wa Kufanya Matangazo ya Kulipia Tiktok
About Course
Mawazo potofu waliyonayo watu wengi ni kwamba…
Tiktok sio sehemu sahihi ya kufanya matangazo ya kulipia, ndio maana…
Wanaishia kufanya matangazo FACEBOOK na INSTAGRAM…haujui tuu
Lakini TIKTOK kwa sasa ni sehemu sahihi zaidi kwako kuuza bidhaa zako kwa uharaka endapo tuu utajua jinsi ya kufanya matangazo ya kulipia kwa usahihi zaidi.
Ndio maana nimekuandalia course hii fupi kukusaidia kupata fursa iliyopo tiktok kwa kufanya matangazo ya kulipia.
Course Content
Mwongozo Sahihi wa Kufanya Matangazo ya Kulipia TIKTOK
-
TIKTOK ADS
15:04