Nasa Wateja Kwa Matangazo ya Kulipia WHATSAPP
About Course
Sijui kama ulikuwa unajua hili…
Unajua kwamba matangazo ya whatsapp yanaweza kukusaidia kuuza bidhaa zako zaidi haya ya matangazo ya FACEBOOK na INSTAGRAM?
Sasa katika course hii fupi nataka kukuonesha ni kivipi unaweza kutengeneza pesa nyingi kupitia matangazo ya kulipia.
Utajifunza hatua zote za ufanyaji wa matangazo whatsapp na kupata wateja wengi ambao wanaweza kununua bidhaa yako.
Ndani ya dakika 30 utaweza kuchukua simu yako na kuanza kurusha matangazo na kupokea oda za bidhaa ambayo umeitangaza.
Course Content
SETTING ZA AWALI KUZIFANYA ILI UWEZE KUFANYA MATANGAZO WHATSAPP BUSINESS
-
SETTING ZA AWALI
08:13