CONTENT CREATION

Categories: Content Creation
Wishlist Share

About Course

Kwanini kila video unayopost mtandaoni haikuletei wateja wengi wakati…

Kuna mwenzako anapost kawaida tuu lakini wateja anaopata ni wengi zaidi yako?

Kuna vitu 2 muhimu sana inawezekana umepungukiwa bila wewe kujua

1. Hauna mfumo sahihi wa kutengeneza maudhui ya video ambayo yanavuta umakini wa wateja wako vizuri…ndio maana unapata watazamaji na sio wateja.

2. Hauna ujuzi wa copywriting ndio maana unajuhudi sana ya kutengeneza content za video na hata kuandika lakini hakuna wateja wa maana unaowapata.

Kupitia course hii ya CONTENT CREATION imelenga kukujengea ujuzi katika maeneo haya 2 ili unapomaliza na kwenda kufanyia kazi, basi changamoto ya kukosa wateja ndani ya mitandao ya kijamii ipotee kabisaa.

Na wewe kupitia course hii uanze kuona matunda ya juhudi zako za kutengeneza content zako na sio unakuwa na juhudi kubwa alafu matokeo yanakuwa madogo.

Upo tayari kukuza brand ya biashara yako na kupokea mvua ya wateja kwenye biashara yako?

Tuwe sambamba kwenye course hii mpaka mwisho.

Show More

What Will You Learn?

  • 1. Jinsi ya Kumjua Mteja Anaweza Kulipia Bidhaa Yako
  • 2. Nini Maana Ya Content,Aina 2 Za Content Na Vipengele Vyake 6
  • 3. Elewa Vizuri Nini Maana Ya Hook Na Headline?
  • 4. Aina 5 Za Hook Unazopaswa Kutumia Kwenye Video Zako
  • 5. Hooks 27 za Kumfanya Mlengwa Wako Kuangalia Video Yako Bila kusimama
  • 6. Aina 7 za Headline Zenye Nguvu ya Kumfanya Msomaji Asiruke Makala au Video Yako (Utatumia Ujuzi Huu Kwenye Kuandika Title za Video na Kuandika Makala)
  • 7. Uandishi Wa Body Message Haswa Kwenye Opening Paragraph
  • 8. Vitu Muhimu Vya Kuzingatia Kwenye Body Message Ya Content Zako
  • 9. Jinsi Ya Kutengeneza Ofay A Kuongeza Urahisi Wa Mteja Kununua.
  • 10. Bonus Ya Headline,Body Copy,Cta Na Offer
  • 11. Formula 4 Muhimu Za Kutengeneza Content Za Video
  • 12. Content Inayovutia Wateja Na Kuuza Zaidi

Course Content

1. Jinsi ya Kumjua Mteja Anayeweza Kulipia Bidhaa Yako

  • Jinsi ya Kumjua Mteja Anayeweza Kulipia Bidhaa Yako
    19:28

2. Nini Maana Ya Content,Aina 2 Za Content Na Vipengele Vyake 6

3. Elewa Vizuri Nini Maana Ya Hook Na Headline?

4. Aina 5 Za Hook Unazopaswa Kutumia Kwenye Video Zako

5. Hooks 27 za Kumfanya Mlengwa Wako Kuangalia Video Yako Bila kusimama

6. Aina 7 za Headline Zenye Nguvu ya Kumfanya Msomaji Asiruke Makala au Video Yako

7. Uandishi Wa Body Message Haswa Kwenye Opening Paragraph

8. Vitu Muhimu Vya Kuzingatia Kwenye Body Message Ya Content Zako

9. Jinsi Ya Kutengeneza Ofa ya Kuongeza Urahisi Wa Mteja Kununua.

10. Bonus Ya Headline,Body Copy,Cta Na Offer

11. Formula 4 Muhimu Za Kutengeneza Content Za Video

12. Content Inayovutia Wateja Na Kuuza Zaidi

Student Ratings & Reviews

No Review Yet
No Review Yet