Jinsi ya Kufanya Matangazo ya Kulipia FACEBOOK
About Course
Jifunze kwa lugha rahisi, mbinu na mikakati yote sahihi ya kukusaidia kuuza bidhaa au huduma yako kupitia matangazo ya kulipia FACEBOOK
Katika course hii utajifunza jinsi ya kufanya matangazo ya facebook kawaida na kwa kutumia FACEBOOK ADS MANAGER kwa kutumia simu au laptop yako.
Course hii ni kwa watu 35 tuu na baada ya hapo hautaweza kujiunga tena kwa ofa ambayo imetolewa leo.
Upo tayari kuanza course hii?
Course Content
Elewa Vipengele Vyote Muhimu vya ADS MANAGER Kabla ya Kufanya Tangazo
-
Vipengele Muhimu vya ADS MANAGER
21:06