Mwongozo wa Kufanya Matangazo Kwa Faida INSTAGRAM

Categories: Instagram ads
Wishlist Share

About Course

Unapata wakati mgumu wa kuuza bidhaa zako kila unapofanya matangazo ya kulipia INSTAGRAM?

Utajisikiaje endapo leo nitakupa mwongozo ambao utakusaidia kuokoa pesa nyingi za ufanyaji wako wa matangazo na kuanza kutengeneza faida kuanzia leo?

Itakuwa na msaada kwako, sio?

Tuwe pamoja kwenye course hii fupi kujifunza hatua kwa hatua namna ya kufanya matangazo kwa lengo la kupata wateja na kuongeza mauzo yenye faida kwenye biashara yako.

What Will You Learn?

  • Kupitia course hii utajifunza hatua zote sahihi za kufanya matangazo instagram kwa mafanikio bila kupoteza pesa zako

Course Content

Siri za Kufanya Matangazo Kwa Faida INSTAGRAM

  • INSTAGRAM ADS
    13:49

Student Ratings & Reviews

No Review Yet
No Review Yet