Nasa Wateja Kwa Matangazo ya Kulipia WHATSAPP

Categories: Whatsapp ads
Wishlist Share

About Course

Sijui kama ulikuwa unajua hili…

Unajua kwamba matangazo ya whatsapp yanaweza kukusaidia kuuza bidhaa zako zaidi haya ya matangazo ya FACEBOOK na INSTAGRAM?

Sasa katika course hii fupi nataka kukuonesha ni kivipi unaweza kutengeneza pesa nyingi kupitia matangazo ya kulipia.

Utajifunza hatua zote za ufanyaji wa matangazo whatsapp na kupata wateja wengi ambao wanaweza kununua bidhaa yako.

Ndani ya dakika 30 utaweza kuchukua simu yako na kuanza kurusha matangazo na kupokea oda za bidhaa ambayo umeitangaza.

What Will You Learn?

  • Utajifunza jinsi ya kupata wateja sahihi wanaoweza kununua bidhaa yako kupitia matangazo ya kulipia kupitia WHATSAPP BUSINESS

Course Content

SETTING ZA AWALI KUZIFANYA ILI UWEZE KUFANYA MATANGAZO WHATSAPP BUSINESS

  • SETTING ZA AWALI
    08:13

JINSI YA KUFANYA MATANGAZO WHATSAPP BUSINESS- ANZA HAPA

VUTA WATEJA WENGI KWA MATANGAZO YA KULIPIA WHATSAPP-REV NEW 02

JINSI YA KUKWEPA 30% Apple Charges

Student Ratings & Reviews

No Review Yet
No Review Yet