Lazaro
-
Lazaro posted a new lesson. 3 months ago
Hooks 27 za Kumfanya Mlengwa Wako Kuangalia Video Yako Bila kusimamaNimekurahisishia kazi ya ku-copy na ku-paste hooks 27 ambazo unaweza tumia mwanzo wa video yako na kupata attention kwenye video yako yote.
-
Lazaro posted a new lesson. 3 months ago
Aina 5 Za Hook Unazopaswa Kutumia Kwenye Video ZakoAina hizi 5 za hook wafanyabiashara wengi hawazijui Leo unapata nafasi ya kuzijua na kuelewa umuhimu wako kwenye kufanya video yako isimchoshe mteja kuangalia
-
Lazaro posted a new lesson. 3 months ago
Nini Maana ya Hook na Headline? Umuhimu Wake ni Upi?Hii ni sehemu ambayo pesa inaanza kutengenezwa kwenye utengenezaji wa maudhui au content.
-
Lazaro posted a new lesson. 3 months ago
Nini Maana Ya Content,Aina 2 Za Content Na Vipengele Vyake 6Unajua ni aina gani ya content ambayo inaweza vuta wateja wa kutosha kwenye biashara yako? Ni aina ipi ambayo inaweza kukufaa zaidi kwa aina ya…
-
Lazaro posted a new lesson. 3 months ago
Jinsi ya Kumjua Mteja Anayeweza Kulipia Bidhaa YakoMjua mteja wako ili mbinu zako zote za mauzo ziweze kuwa na faida kubwa kwenye biashara yako.