Sale!

BIASHARA NA UJASIRIAMALI Hard Copy

Original price was: Sh 15,000.Current price is: Sh 13,000.

Unajua unataka kufanya biashara au kujijenga kiuchumi…lakini…

Hujui uanze wapi, nini ufanye kwanza, au jinsi ya kuepuka makosa yanayowafanya watu wengi washindwe?

BIASHARA NA UJASIRIAMALI ni kitabu kinachokusaidia kujenga msingi sahihi wa kuwa mfanyabiashara au mjasiriamali mwenye uelewa wa kweli wa soko na jinsi pesa inavyotengenezwa.

-
+

Specs

Categories: ,

Description

Ndani yake utajifunza namna ya kutambua fursa za biashara,

Jinsi ya kuanza hata ukiwa na mtaji mdogo, na jinsi ya kuepuka makosa ya kawaida yanayowarudisha nyuma wengi.

Pia kitabu hiki kinakufundisha mtazamo sahihi wa ujasiriamali unaokufanya uone biashara kama mfumo wa kutatua matatizo na kupata kipato.

Hiki si kitabu cha nadharia ya biashara pekee…ni mwongozo unaokupa uelewa wa vitendo wa jinsi ya kuanza na kukua hatua kwa hatua bila kupotea njiani.

Baada ya kukisoma, utaanza kufikiri kama mfanyabiashara, utaweza kuchukua maamuzi bora zaidi, na utaanza kuona fursa mahali ambapo wengine hawaoni chochote.

Kama unataka kuingia kwenye dunia ya biashara kwa uelewa na kujiamini, kitabu hiki ni hatua yako ya kwanza muhimu.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “BIASHARA NA UJASIRIAMALI Hard Copy”

Your email address will not be published. Required fields are marked *