Sale!

NYUNDO 170 ZA HEKIMA Toleo la 2 Soft Copy

Original price was: Sh 5,000.Current price is: Sh 3,000.

Ushawahi kujikuta kwenye msukumo wa haraka wa kufanya maamuzi sahihi, lakini unakosa maneno au fikra zinazokuchochea kuchukua hatua papo hapo?

NYUNDO 170 ZA HEKIMA (Toleo la Pili)
Ni mkusanyiko wa kauli fupi zenye nguvu ulioundwa kukupa mwanga wa haraka kila unapohitaji msukumo, maamuzi, au mtazamo mpya kwenye maisha na biashara.

-
+

Specs

Categories: ,

Description

Ndani yake utapata hekima 170 zilizoandikwa kwa lugha rahisi lakini zenye uzito mkubwa

Kila moja ikiwa kama nyundo inayogonga fikra zako na kukuamsha uone mambo kwa uhalisia zaidi.

Ni maneno yanayokufanya ujiulize, ujitathmini, na kubadilisha namna unavyofikiri na kuchukua hatua.

Baada ya kusoma kitabu hiki,
Utaanza kuwa na mtazamo mkali zaidi kwenye maamuzi yako, utaacha kupoteza muda kwenye mambo yasiyo na maana, na utaongeza kasi ya kuchukua hatua sahihi kwenye maisha na biashara.

Kila ukurasa unakuwa kama msukumo mpya wa kukusogeza mbele.

Hiki ni kitabu ambacho unaweza kukirudia mara nyingi…kila unapokisoma, unapata nguvu mpya ya kusonga mbele.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “NYUNDO 170 ZA HEKIMA Toleo la 2 Soft Copy”

Your email address will not be published. Required fields are marked *