Description
Unajikuta unajitahidi kwenye biashara lakini hakuna mwelekeo thabiti… mahusiano yako hayako sawa… na ndani yako unahisi bado hujafikia uwezo wako kamili?
NGUZO 3 ZA MAISHA
Ni kitabu kinachokupa mwongozo wa kujenga maisha yenye usawa na mafanikio ya kweli kwa kushughulikia maeneo matatu muhimu: ujasiriamali, mahusiano, na maendeleo binafsi.
Ndani yake utajifunza jinsi ya kujenga chanzo cha kipato chenye mwelekeo, kuimarisha mahusiano yanayokujenga badala ya kukudhoofisha, na kubadilisha mtazamo wako ili uwe mtu anayechukua hatua na kupata matokeo.
Kila sehemu imeandikwa kwa lugha rahisi lakini yenye nguvu, ikikuonyesha kwa vitendo nini cha kufanya na kwa nini kinafanya kazi.
Baada ya kusoma kitabu hiki, utaanza kuona mabadiliko halisi
Utakuwa na clarity ya unachotaka kwenye maisha, utaweza kufanya maamuzi sahihi kwa kujiamini zaidi, na utaanza kujenga maisha yenye utulivu wa akili, mahusiano bora, na maendeleo ya kifedha.
Hiki si kitabu cha kusoma na kusahau ni mwongozo wa kubadilisha maisha yako hatua kwa hatua na kwa kujiamini kweli kweli.





Reviews
There are no reviews yet.