Sale!

NGUVU YA OFA BORA Soft Copy

Original price was: Sh 50,000.Current price is: Sh 20,000.

Unawezaje kumfanya mteja aone bei kubwa ya bidhaa yako sio kubwa na bado akanunua haraka tuu?

Wala hata usiwaze kuhusu kutoa PUNGUZO utaua biashara yako tuu usipokuwa makini.

Ndani ya kitabu cha NGUVU YA OFA BORA

-
+

Specs

Categories: ,

Description

Unawezaje kumfanya mteja aone bei kubwa ya bidhaa yako sio kubwa na bado akanunua haraka tuu?

Wala hata usiwaze kuhusu kutoa PUNGUZO utaua biashara yako tuu usipokuwa makini.

Ndani ya kitabu cha NGUVU YA OFA BORA

 

Kinakusaidia kufunua siri ya jinsi ofa sahihi inavyoweza kubadilisha kabisa mauzo ya biashara yako bila kulazimisha wateja.

Ndani yake utajifunza namna ya kuunda ofa zinazovutia, zinazoondoa shaka kwa mteja na kumfanya achague kununua mara moja hata kabla ya kufikiria sana bei.

Kitabu hiki kinaeleza kwa mifano halisi ya biashara jinsi ya kubadilisha bidhaa au huduma ya kawaida au ya bei kubwa kuwa pendekezo lisilopingika sokoni.

 

Kinafaa kwa wafanyabiashara, network marketers na mtu yeyote anayetaka kuongeza mauzo kwa kutumia nguvu ya mawasiliano na ofa sahihi.

Kama unauza lakini matokeo si makubwa, kitabu hiki kinakupa mwelekeo wa kubadilisha “kile unachouza” kuwa “kwa nini mteja hawezi kukikosa.”

Unasubiri nini kusoma kitabu leo?

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “NGUVU YA OFA BORA Soft Copy”

Your email address will not be published. Required fields are marked *