Sale!

MISEMO 101 YA KUKUBADILI KIUCHUMI Soft Copy

Original price was: Sh 7,000.Current price is: Sh 5,000.

Unajikuta unafanya kazi au biashara, lakini kipato chako hakiongezeki kwa kasi unayotamani, na…

Wakati mwingine unashindwa kuelewa kwanini wengine wanapiga hatua haraka kuliko wewe?

MISEMO 101 YA KUKUBADILI KIUCHUMI ni kitabu kinachokusaidia..

-
+

Specs

Categories: ,

Description

Unajikuta unafanya kazi au biashara, lakini kipato chako hakiongezeki kwa kasi unayotamani, na…

Wakati mwingine unashindwa kuelewa kwanini wengine wanapiga hatua haraka kuliko wewe?

MISEMO 101 YA KUKUBADILI KIUCHUMI ni kitabu kinachokusaidia..

 

Kubadilisha namna unavyofikiri kuhusu pesa, fursa, na maamuzi ya kifedha ili uanze kuona matokeo tofauti kwenye maisha yako ya kiuchumi.

Ndani yake utapata misemo 101 yenye nguvu inayokufundisha jinsi ya kuona thamani,

Kutumia fursa, na kuepuka fikra zinazowazuia watu wengi kukua kifedha.

 

Kila msemo umelenga kukufungua macho kuhusu jinsi pesa inavyopatikana na jinsi ya kujiweka kwenye nafasi sahihi ya kuipata.

Hiki si kitabu cha nadharia za pesa pekee, ni mwongozo wa kubadilisha akili yako ya kifedha na kukufanya uanze kuchukua maamuzi yanayoleta maendeleo ya kweli.

Baada ya kukisoma, utaanza kufikiri tofauti kuhusu pesa, utaona fursa kwa jicho jipya, na utaanza kuboresha hatua zako za kifedha kwa uelewa zaidi.

Kama unataka kubadilisha hali yako ya kiuchumi kwa kuanzia na fikra zako, kitabu hiki kitakuwa mwanzo muhimu sana kwako.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “MISEMO 101 YA KUKUBADILI KIUCHUMI Soft Copy”

Your email address will not be published. Required fields are marked *