Sale!

WHATSAPP YENYE FAIDA Sofy Copy

Original price was: Sh 12,000.Current price is: Sh 10,000.

Unatumia WhatsApp kila siku… lakini bado haikuingizii pesa kama inavyoweza?

WHATSAPP YENYE FAIDA ni kitabu kinachokufundisha jinsi ya kugeuza mazungumzo ya kawaida ya WhatsApp kuwa…

Chanzo cha wateja na mauzo bila kusumbua watu au kuonekana kama unawalazimisha kununua.

-
+

Specs

Categories: ,

Description

Unatumia WhatsApp kila siku… lakini bado haikuingizii pesa kama inavyoweza?

WHATSAPP YENYE FAIDA ni kitabu kinachokufundisha jinsi ya kugeuza mazungumzo ya kawaida ya WhatsApp kuwa…

Chanzo cha wateja na mauzo bila kusumbua watu au kuonekana kama unawalazimisha kununua.

Ndani yake utajifunza mbinu za kuanzisha mazungumzo yanayovutia,

Kujenga uaminifu kwa haraka, na kuongoza mteja hatua kwa hatua hadi kufanya maamuzi ya kununua.

Pia utaona jinsi ya kutumia status, broadcast, na chat binafsi kwa njia inayokuongezea thamani na matokeo halisi.

Baada ya kukisoma, utaanza kuona tofauti kwenye namna watu wanavyokujibu,

Utaongeza idadi ya wateja wanaokuamini, na mazungumzo yako mengi yataanza kuishia kwenye mauzo badala ya kuishia hewani.

Hiki ni kitabu cha kukusaidia kutumia kile ambacho tayari unacho mkononi…WhatsApp…kama chombo cha kukuingizia kipato kila siku.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “WHATSAPP YENYE FAIDA Sofy Copy”

Your email address will not be published. Required fields are marked *