Description
MBINU ZA MAFANIKIO KWENYE BIASHARA YA BAKERY ni kitabu kinachokupa mwongozo wa…
Vitendo wa kugeuza bakery yako kuwa biashara yenye wateja wa kudumu na faida inayoonekana.
Ndani yake utajifunza jinsi ya kuvutia wateja wa karibu na wa mara kwa mara,
Kupanga bidhaa zako kwa namna inayoongeza mauzo kila siku, na…
Kuboresha huduma ili wateja warudi tena na tena.
Pia utaelewa jinsi ya kupunguza makosa madogo madogo yanayokula faida bila wewe kugundua.
Hiki si kitabu cha mawazo tu…ni mwongozo wa hatua kwa hatua unaokusaidia kuona biashara yako ikianza kuwa na mfumo, mpangilio, na ukuaji wa kweli.
Baada ya kukisoma, utaanza kuona ongezeko la wateja wa kurudia, mauzo yako yatakuwa thabiti zaidi, na…
Utakuwa na uelewa wa jinsi ya kuendesha bakery yako kwa faida badala ya kubahatisha.
Kama unataka bakery yako isiwe ya kuendesha tu bali iwe chanzo cha kipato kinachokua kila siku, kitabu hiki kitakuonyesha njia.



Reviews
There are no reviews yet.