Description
Hebu jaribu kufikiria…
Umejichanga kutafuta mtaji wako, ukaanzisha biashara lakini…
Baada ya muda biashara yako ikawa na changamoto ya kupata wateja…
Wengi tunapofika kwenye hatua kama hii huwa tunaanza kujilaumu na ubaya zaidi…
Â
Huwa tunaanza kufanya maamuzi ya kihisia kutafuta msaada wa haraka na gharama kubwa bila matokeo yotote mazuri.
Utakuta mtu anatumia influencers, anafanya matangazo ya bei kubwa au kurekodi video za bei kutangaza biashara yake lakini…
Wengi huwa hawapati matokeo mazuri.
Sasa unatakiwa kufanya nini kwa gharama ndogo kabisaa?
Â
Soma kitabu hiki cha MWONGOZO WA KUONGEZA MAUZO NA WATEJA ambacho…
Kimeandaliwa kwa ajili ya wewe ambaye unapitia changamoto ya kushindwa kuongeza mauzo na wateja kwa mwendelezo.
Ndani ya kitabu hiki zaidi ya asilimia 90 kina mada ambazo…
Kwa 100% zitaifanya biashara yako kuwa na mafanikio makubwa ndani ya siku 30 baada ya kukisoma.
Usifunge biashara yako wala kuikatia tamaa, ila soma kitabu na nyanyuka tena kwa kishondo na kwa mafanikio.




Reviews
There are no reviews yet.