Sale!

ALGORITHM MASTER Soft copy

Original price was: Sh 50,000.Current price is: Sh 25,000.

ALGORITHM MASTER ni kitabu kinachokusaidia kuelewa jinsi mitandao ya kijamii inavyofanya kazi nyuma ya pazia…na nini hasa huamua ni nani aone content yako na nani asiione.

Ndani yake utajifunza kanuni zinazotumika na algorithms za platforms mbalimbali, ni aina gani ya posts zinazopata reach zaidi, na makosa yanayofanya biashara nyingi zibaki gizani bila kuonekana.

-
+

Specs

Categories: ,

Description

Kwanini unapost kila siku na content zako hazifikii watu wengi?
Kwanini haujawahi kwenda viral na ukauza bidhaa zako vila kulipia matangazo?

Kwanini akaunti yako haikui licha ya kutumia pesa nyingi na kupost post nyingi kila siku?
Najua hay ani maswali ambayo unajiuliza kila siku, sio?

Yaani imekuwa kawaida kwako kupata watazamaji 100, 50 na ukijitahidi sana ni 500

Wakati kuna watu wanapost vitu vya kawaida na wanafikia watu wengi au…

Wanapost mara chache na wanapata wateja wengi kuliko wewe?

ALGORITHM MASTER ni kitabu kinachokusaidia kuelewa jinsi mitandao ya kijamii inavyofanya kazi nyuma ya pazia…na nini hasa huamua ni nani aone content yako na nani asiione.

Ndani yake utajifunza kanuni zinazotumika na algorithms za platforms mbalimbali, ni aina gani ya posts zinazopata reach zaidi, na makosa yanayofanya biashara nyingi zibaki gizani bila kuonekana.

Pia kinakuongoza kwa vitendo jinsi ya kuunda content inayopendwa na mfumo na wakati huo huo kuwavutia watu halisi wanaoweza kuwa wateja wako.

Hiki ni kitabu kinachokutoa kwenye kubahatisha mtandaoni, kukupeleka kwenye kuelewa mchezo na kuucheza kwa faida yako.
Kupitia kitabu baada ya kukisoma…

Utaanza kupost na kwenda viral, utakuza akaunti yako kwa kuwa na wafuasi ambao wanaweza kuwa wateja wako kwa wepesi, utafikia watu wengi na kuuza bidhaa zako mtandaoni bila kuumiza kichwa tena.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “ALGORITHM MASTER Soft copy”

Your email address will not be published. Required fields are marked *