Description
Ni kwanini kitabu hiki ni muhimu sana kukisoma kuanzia leo?
Kitu muhimu ambacho haukijui ni kwamba…
Mauzo mengi yanafanyika kwenye mazungumzo, unaposhindwa kuelewa jinsi ya kuongoza mazungumzo yako na mteja, ni ngumu sana kuuza bidhaa zako.
Kitabu hiki kinakusaidia kujua jinsi ya kuongea na mteja kwa lengo la kumfanya kuona umuhimu wa bidhaa yako kwenye maisha yake.
Kinakueleza jinsi ya kuwa na control ya mazungumzo unayokuwa nayo na mteja ili mwisho wa siku akuamini na kuona “Ni ujinga kuondoka bila kununua bidhaa yako.”


Reviews
There are no reviews yet.