Description
Haya ni maswali ambayo huwa tunapenda kuuliza tunapokuwa na mitaji…
“Nina kiasi X naweza fanya biashara gani?”
“Nimeanzisha biashara lakini sipati wateja…unaweza nisaidia?”
“Nina wafanyakazi lakini wananisumbua sana…nafanyaje?”
“Biashara yangu haikui kabisaa…nafanyaje?”
“Nilishafanya biashara nyingi zikafa, sitaki tena nirudie makosa haya…unanishauri nifanyaje?”
Kwa uzoefu wangu katika kufanya biashara, mafunzo ambayo nimepata na tafiti mbalimbali ambazo nimeweza kuzifanya nimekuandalia kitabu hiki kinachoitwa MILIKI BIASHARA chenye majibu ya maswali haya
Kitabu hiki kimeandaliwa kukusaidia kwenye mambo haya;
- Kujua sifa za wazo sahihi la biashara ambalo halitakupa hasara
- Mbinu sahihi za kutumia kuanzisha biashara kwa uhakika wa kufanya vizuri
- Jinsi ya kuendesha biashara yako kama CEO
- Jinsi ya kukuza mtaji wa biashara yako kwa mikakati ambayo haiwezi kuishia njiani
- Jinsi ya kujua kama unaendesha biashara ambayo ni mzigo au faida
- Jinsi ya kutumia mapato ya biashara yako kuendelea biashara na wewe kujilipa vizuri
- Kujua kama biashara yako ipo kwenye hasara au faida na unatakiwa kufanya nini
- Jinsi ya kushinda kwenye soko lenye ushindani haswa kwenye nyakati ngumu…
Na mada zingine nyingi ambazo zipo katika kurasa zaidi ya 1200…
Kitabu hiki ni zaidi ya tunu ambayo inabidi usome wewe, watoto wako na hata ndugu zako.
Hauna sababu yoyote ile ya kukosa kusoma kitabu hiki endapo…
Una biashara na haifanyi vizuri
Una wafanyakazi na haujui jinsi ya kuwaongoza vizuri
Una fanya mauzo kwenye biashara yako lakini biashara haikui
Una mtaji na haujui biashara sahihi ya kufanya ni ipi n.k
Chukua kitabu hiki na hakikisha unakipitia kwa mwongozo ambao umepatiwa.
Miliki Biashara pdf
Haya ni maswali ambayo kitabu hiki inaenda kukupatia majibu yake; "Nina kiasi X naweza fanya biashara gani?" "Nimeanzisha biashara lakini sipati wateja...unaweza nisaidia?" "Nina wafanyakazi lakini wananisumbua sana...nafanyaje?" "Biashara yangu haikui kabisaa...nafanyaje?" "Nilishafanya biashara nyingi zikafa, sitaki tena nirudie makosa haya...unanishauri nifanyaje?" Kwa uzoefu wangu katika kufanya biashara, mafunzo ambayo nimepata na tafiti mbalimbali ambazo nimeweza kuzifanya nimekuandalia kitabu hiki kinachoitwa MILIKI BIASHARA chenye majibu ya maswali haya... Unapopata nafasi ya kukisoma unaweza okoa hasara na gharama kubwa sana kwa biashara ambayo unaifanya au kwa biashara unayotaka kuianzisha. ONYO; Hapa maamuzi ni yako, kukwepa kusoma kitabu hiki na uje kukisoma na kujuta kwanini haukukisoma au ufanye maamuzi leo na uje kushukuru kwa kukisoma kitabu hiki ikiwa bado mapema
URL: Lazaro Samwel Nalingigwa
Author: Lazaro Samwel
5







Reviews
There are no reviews yet.