Description
Unajituma kila siku kwenye biashara au kujenga jina lako…lakini bado…
Watu hawakuoni kama chaguo la kununua, wala huoni pesa inayolingana na juhudi zako?
BRAND PESA ni kitabu kinachokufundisha jinsi ya kugeuza jina lako au biashara yako kuwa mali inayokuingizia kipato, badala ya kubaki kuwa jina lisilo na nguvu sokoni.
 Ndani yake utajifunza jinsi ya kujitofautisha na wengine, kujenga uaminifu kwa wateja wako, na
Kujiweka kwenye nafasi ambayo watu wanakuona kama suluhisho la matatizo yao.
Kitabu hiki kinaeleza kwa vitendo nini cha kufanya ili watu wasikufuate tu…bali waanze kununua kwako.
Baada ya kukisoma, utaanza kuona mabadiliko kwenye namna unavyoonekana mtandaoni na hata nje ya mtandaoni
Utaongeza mvuto wa brand yako, utaanza kuvutia wateja sahihi, na thamani yako itaongezeka hadi watu wawe tayari kulipa kwa kile unachotoa.
Kama unataka kuacha kupambana sana kuuza na badala yake watu waanze kukutafuta na kununua kwa hiari, kitabu hiki kitakupa njia ya kufika huko.





Reviews
There are no reviews yet.