Description
Je, umewahi kuwa kwenye mazungumzo na mteja ukajikuta unauliza sana maswali lakini…
Mwisho wa siku hanunui, au unakosa majibu sahihi ya kumshawishi bila kumpoteza?
MASWALI YENYE PESA ZAKO ni kitabu kilichoundwa kukusaidia kubadili kabisa namna unavyozungumza na wateja wako ili kila swali unalouliza liwe linaelekeza kwenye mauzo.
Ndani yake utajifunza maswali rahisi lakini yenye nguvu yanayomsaidia mteja mwenyewe kugundua uhitaji wa bidhaa yako na kujenga hamu ya kununua bila kushinikizwa.
Pia utapata mbinu za kujibu vipingamizi kama “bei ni kubwa”, “nitafikiria” au “siko tayari” “Inafanya kazi kweli…” kwa njia ya kitaalamu bila kuingia kwenye mjadala mrefu au kupoteza mteja.
Hiki si kitabu cha mazungumzo ya kawaida…ni mwongozo wa kubadilisha kila mazungumzo kuwa fursa ya mauzo na kuikuza biashara yako.
Upo tayari kumfanya mteja ajiuzie bidhaaa yako bila kumlazimisha?
Chukua hatua sasa usisubiri kesho





Reviews
There are no reviews yet.