Sale!

MWONGOZI WA KUUZA NA KUSAJILI Soft Copy

Original price was: Sh 12,000.Current price is: Sh 10,000.

Unajitahidi kuuza na kusajili kwenye biashara yako ya mtandao (Network Marketing Business)…lakini…

Watu unaowapata hawachukui hatua, wanakata tamaa mapema, au wanakupotezea muda?

MWONGOZO WA KUUZA NA KUSAJILI ni kitabu kilichoundwa mahsusi kukusaidia usipoteze tena muda kwa watu wasio sahihi,bali…

-
+

Specs

Categories: ,

Description

Unajitahidi kuuza na kusajili kwenye biashara yako ya mtandao (Network Marketing Business)…lakini…

Watu unaowapata hawachukui hatua, wanakata tamaa mapema, au wanakupotezea muda?

MWONGOZO WA KUUZA NA KUSAJILI ni kitabu kilichoundwa mahsusi kukusaidia usipoteze tena muda kwa watu wasio sahihi,bali…

Ujifunze jinsi ya kuuza bidhaa zako kwa ufanisi na kusajili watu wenye nia ya kweli ya kufanya biashara yako.

Ndani ya kitabu hiki utagundua mbinu za vitendo za kumtambua mteja sahihi kabla hata hajajiunga,

Jinsi ya kuwasilisha ofa yako kwa namna inayovutia bila kulazimisha, na hatua za kufuata ili mtu unayemsajili awe na uwezekano mkubwa wa kudumu na kufanya kazi.

Hiki si kitabu cha nadharia…

Ni mwongozo wa kukupa mfumo unaofanya kazi, unaoweza kuanza kuutumia mara moja na kuona mabadiliko yenye matokeo yako.

Baada ya kukisoma, utaacha kusajili watu kwa kubahatisha, utaanza kujenga timu yenye watu wanaochukua hatua, na…

Utaongeza mauzo yako kwa sababu unakuwa unazungumza na watu sahihi kwa njia sahihi.

Kama umechoka kufanya kazi kubwa bila matokeo makubwa, kitabu hiki…

Kitakupa mwelekeo mpya wa kuuza na kusajili kwa ufanisi na kupanda katika nafasi unazotamani kufika siku moja.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “MWONGOZI WA KUUZA NA KUSAJILI Soft Copy”

Your email address will not be published. Required fields are marked *