Sale!

SAJILI KI-PRO Soft Copy

Original price was: Sh 50,000.Current price is: Sh 20,000.

Unajisikiaje kila siku wewe ni wa kusajili watu ambao hawakusaidii kukua kwenye biashara yako?

Unasajili watu kwenye biashara yako…lakini…

Baada ya muda wanapotea, hawafanyi kazi, au wanabaki kuwa majina tu bila matokeo?

SAJILI KI-PRO ni kitabu kinachokufundisha jinsi ya kusajili kwa umakini na kujenga timu yenye watu sahihi wanaoweza kukuletea mafanikio ya kweli.

-
+

Specs

Categories: ,

Description

Ndani yake utajifunza mbinu za kuchagua watu kabla ya kuwasajili, namna ya kuwaongoza tangu siku ya kwanza, na jinsi ya…

Kuweka msingi unaowafanya wawe serious na waendelee kufanya biashara badala ya kukata tamaa njiani.

Kitabu hiki kinakupa mfumo wa kitaalamu unaokusaidia kuacha kusajili kwa wingi usio na matokeo na kuanza kusajili kwa ubora.

Baada ya kukisoma, utaanza kuona tofauti kubwa kwenye timu yako

Utakuwa na watu wachache lakini wenye nguvu, wanaofanya kazi, na wanaoleta matokeo.

Utapunguza kupoteza muda, utaongeza ufanisi, na biashara yako itaanza kukua kwa mwelekeo sahihi.

Kama unataka kujenga timu inayokuletea mafanikio badala ya stress, kitabu hiki ni hatua muhimu ya kuanza kubadilisha biashara yako.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “SAJILI KI-PRO Soft Copy”

Your email address will not be published. Required fields are marked *