Description
Huwa unajikuta unahitaji maneno ya kukusukuma mbele kila siku…lakini…
Unakosa kitu cha kukukumbusha ukweli, kukutia moyo, na kukubadilisha mtazamo wako unapokata tamaa?
MISEMO 231 YA KUKUBADILI KIMAISHA
Â
Ni kitabu kilichojaa misemo yenye nguvu inayolenga kubadilisha namna unavyofikiri, unavyochukua hatua, na unavyoitazama changamoto za maisha.
Ndani yake utapata misemo mifupi 231 lakini zenye uzito mkubwa, zinazokusaidia kujitambua, kujenga nidhamu, na kuamka tena kila unapohisi unaporomoka kifikra au kimotisha.
Kila msemo umebeba ujumbe wa kukusukuma uone maisha kwa upya na uanze kuchukua hatua bila kusubiri hali iwe kamilifu.
Hiki si kitabu cha kusoma mara moja tu, ni cha kurudia mara kwa mara, kila unapohitaji kukumbushwa nguvu yako ya ndani na uwezo ulionao wa kubadilisha maisha yako.
Â
Baada ya kukisoma,
Utaanza kuwa na mtazamo chanya zaidi, utaacha kukwama kwenye mawazo ya kukatisha tamaa, na utaanza kuchukua hatua ndogo ndogo zinazokuletea mabadiliko makubwa.
Kama unataka kila siku yako ianze na nguvu mpya ya kufikiri na kutenda, kitabu hiki kitakuwa kama chanzo chako cha msukumo wa kila siku.



Reviews
There are no reviews yet.