Sale!

MWONGOZO KATIKA MAFANIKIO Hard Copy

Original price was: Sh 17,000.Current price is: Sh 15,000.

Unajitahidi kufanikiwa kwenye maisha au biashara…lakini…

Mara nyingi unajikuta unachoka njiani, unakosa mwelekeo, au unaanza jambo lakini hukamilishi?

MWONGOZO KATIKA MAFANIKIO ni kitabu kinachokusaidia kuelewa kwa uwazi safari ya mafanikio na nini hasa kinachotakiwa ili mtu afikie matokeo anayotamani katika maisha yake.

-
+

Specs

Categories: ,

Description

Ndani yake utajifunza jinsi ya kuweka malengo yanayoeleweka na yanayotekelezeka,

Namna ya kujenga nidhamu ya kuendelea hata pale motisha inapopungua, na…

Jinsi ya kufanya maamuzi sahihi yanayokupeleka hatua kwa hatua kwenye mafanikio.

Kitabu hiki kinakusaidia kuondoa mkanganyiko na kukupa mwelekeo wa nini cha kufanya kila siku.

Hiki si kitabu cha ndoto tu…ni…

Mwongozo wa vitendo unaokusaidia kubadilisha mtazamo wako na kuanza kuchukua hatua zinazoleta matokeo halisi.

Baada ya kukisoma,

Utaanza kuwa na clarity kwenye maisha yako, utaacha kuanza na kuacha kila mara, na…

Utaanza kuona maendeleo ya kweli kwenye malengo yako ya kibinafsi na ya biashara.

Kama unataka maisha yako yaanze kuwa na mwelekeo na matokeo ya kweli, kitabu hiki kitakuwa kama ramani yako ya mafanikio.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “MWONGOZO KATIKA MAFANIKIO Hard Copy”

Your email address will not be published. Required fields are marked *