Sale!

SAIKOLOJIA YA MAFANIKIO KWENYE MITANDAO YA KIJAMII Soft Copy

Original price was: Sh 12,000.Current price is: Sh 10,000.

Umewahi kuchapisha content nzuri mtandaoni, ukaweka bidii kweli kweli, lakini ukaona watu wanapita tu bila kuonyesha interest wala kuchukua hatua?

Au umeingia kwenye mitandao ya kijamii kwa muda mrefu lakini…

Haikufaidishi kibiashara licha ya kuwa na juhudi kubwa sana?

SAIKOLOJIA YA MAFANIKIO KWENYE MITANDAO YA KIJAMII

Ni kitabu kinachokusaidia kuelewa jinsi ya kutumia mitandao ya kijamii kwa mafanikio na sio kupoteza muda tuu

-
+

Specs

Categories: ,

Description

Utajifunza…

Kile kinachotokea kichwani mwa mteja wako anapokuwa ana-scroll mitandao ya kijamii na anapofanya maamuzi ya kumwamini au kumkataa mfanyabiashara.

Ndani yake utajifunza jinsi watu wanavyofikiri, wanachotafuta bila kusema, na sababu halisi zinazowafanya wasikuchague wewe hata kama bidhaa yako ni nzuri.

Pia kinakuongoza hatua kwa hatua kujua aina ya content unayotakiwa kuunda, jinsi ya kujenga uaminifu mtandaoni, na nini hasa kinachomfanya mteja akuone kama chaguo sahihi kati ya wengine.

Hiki ni kitabu kinachokusaidia kutoka kwenye “kupost tu” hadi kuwa mtu anayechaguliwa mtandaoni bila kulazimisha mauzo.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “SAIKOLOJIA YA MAFANIKIO KWENYE MITANDAO YA KIJAMII Soft Copy”

Your email address will not be published. Required fields are marked *