Description
Umeamua kuanza jambo kwa nguvu… lakini kadri muda unavyokwenda unajikuta unapoteza hamasa, unakata tamaa, na mwisho unaishia njiani?
SAFARI YA MAFANIKIO ni kitabu kinachokusaidia kujenga uthabiti wa akili na moyo ili usiishie njiani, bali ufike kwenye matokeo unayoyataka kweli kwenye mambo yako.
Ndani yake utajifunza jinsi ya kushinda vikwazo vya ndani kama uvivu, hofu, na kukata tamaa, pamoja na mbinu za kuendelea kusonga mbele hata pale mambo yanapokuwa magumu.
Kitabu hiki kinakupa mtazamo halisi wa safari ya mafanikio, hakikuahidi urahisi, bali kinakupa nguvu ya kuhimili mchakato hadi ushinde.
Baada ya kukisoma, utaanza kuona mabadiliko kwenye nidhamu yako, uwezo wa kuendelea licha ya changamoto utaongezeka, na utaacha kuwa mtu wa kuanza mambo bila kuyamaliza.
Â
Utajijenga kuwa mtu anayesimama imara, anayepambana hadi mwisho, na anayefikia malengo yake kwa vitendo.
Hiki si kitabu cha kukupa hamasa ya muda mfupi…ni mwongozo wa kukusaidia kuwa mtu anayeshinda kwenye maisha kwa vitendo.




Reviews
There are no reviews yet.