Mteja Anayekwambia “Sijawahi Kusikia Hii kampuni yenu.”
Unawezaje kuuza kwa mteja huyu bila kumpoteza.
Usimwambie mteja “Lakini sisi tunajulikana sana.”
Au ukachukulia kama mashambulizi.
Hapa Mteja hajakwambia bidhaa yako ni mbaya. Amekuambia kwamba brand yako bado haijajenga familiarity kwake.
Mteja wa namna hii Mwambie:
“Nimekuelewa. Ni vizuri kuwa makini kabla ya kununua. Nikushirikishe kwa kifupi kampuni yetu inafanya nini, tumewasaidia kina nani, na ushahidi gani unaweza kuangalia kabla hujafanya uamuzi.”
Kisha mpe ushahidi unaoweza kuthibitishwa mfano; reviews, testimonials, case studies, usajili, location, terms au taarifa nyingine zinazohusika na kampuni yenu.
Ungependa kujifunza kwa kina zaidi jinsi ya kuuza kwa wateja wa namna hii kwenye biashara yako.
Chini ya makala hii nimekuwekea vitabu na program mbalimbali ambazo unaweza kujifunza kwa muda wako hata kama upo busy.
Products by Category
-
BRAND PESA Soft Copy
Original price was: Sh 20,000.Sh 13,500Current price is: Sh 13,500. -
MASWALI YENYE PESA ZAKO Pdf
Original price was: Sh 20,000.Sh 14,500Current price is: Sh 14,500. -
MILIKI BIASHARA pdf
Original price was: Sh 200,000.Sh 19,999Current price is: Sh 19,999. -
MWONGOZI WA KUUZA NA KUSAJILI Soft Copy
Original price was: Sh 15,000.Sh 7,500Current price is: Sh 7,500. -
MWONGOZO WA KUONGEZA MAUZO NA WATEJA Soft Copy
Original price was: Sh 30,000.Sh 16,500Current price is: Sh 16,500.








Responses