Umeongea na mteja lakini unaona bado hafanyi maamuzi yoyote ya kununua…unatakiaa ufanye nini? 

Muulize swali hili la commitment:

Muulize; 

“Kwa taarifa ulizonazo mpaka sasa, kuna kitu gani bado kinakuzuia kufanya uamuzi?”

Kama atasema:

“Hapana, kila kitu kiko sawa.”

Unaweza kwenda:

“Vizuri…unaonaje tukachagua chaguo linalokufaa na tuanze mchakato?”

Hii inasaidia kugundua kama kweli kuna kikwazo au mteja alikuwa anazunguka tu.

Unawezaje kuendelea kupata elimu hii kwa mwendelea kwa faida ya ukuaji wa biashara yako?

Nimekuwekea hapa chini vitabu ambavyo unaweza kuvisoma kwa muda wako.

Products by Category

Recommended products

Related Articles

Responses

Your email address will not be published. Required fields are marked *